Habari Mpya
-
Rais Samia atunuku Kamisheni
Nov 23, 2025​Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatunuku kamisheni Maafisa 296 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Katika sherehe iliyofanyika katika Chuo cha Kijeshi Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba 2025.
Soma zaidi -
Nov 3, 2025
Rais Samia ala Kiapo
Soma zaidi -
Oct 24, 2025
JWTZ Laadhimisha UN DAY Lebanon
Soma zaidi -
Oct 10, 2025
Jeshi kujenga Hoteli ya nyota tano
Soma zaidi