• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • JWTZ  lawaaga Majenerali waliostaafu utumishi Jeshini

    JWTZ lawaaga Majenerali waliostaafu utumishi Jeshini

    11 months ago

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 02 Machi 2018 limewaaga Majenerali waliostaafu utumishi jeshini kwa gwaride maalum.

    Soma zaidi
  • Jenerali Venance Mabeyo aipokea timu ya Golf ya Lugalo.

    Jenerali Venance Mabeyo aipokea timu ya Golf ya Lugalo.

    11 months ago

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo leo ameipokea timu ya Golf ya Lugalo ambayo imeshiriki Mashindano ya Wazi ya Golf kwa Wanawake nchini Nigeria na kuibuka mshindi wa jumla katika mashindano hayo.

    Soma zaidi
  • JWTZ laadhimisha siku ya michezo ya majeshi duniani

    JWTZ laadhimisha siku ya michezo ya majeshi duniani

    1 year ago

    JWTZ limeungana na majeshi mengine duniani kuadhimisha siku ya michezo ya majeshi iliyofanyika katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na JKT , Upanga jijini Dar es Salaam

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu amuapisha Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu amuapisha Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    1 year ago

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Februari 2018 amemuapisha Luteni Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

    1 year ago

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo tarehe 06 Februari 2018.

    Soma zaidi
  • ​​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania akabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo

    ​​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania akabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo

    1 year ago

    ​​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo leo tarehe 06 Februari 2018 amekabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya

    1 year ago

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi Marafiki

    Soma zaidi
  • Mnadhimu Mkuu wa JWTZ asisitiza kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi.

    Mnadhimu Mkuu wa JWTZ asisitiza kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi.

    1 year ago

    Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali James Mwakibolwa amewataka Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma wa Jeshi hilo kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi wakati wanapotekeleza majukumu yao.

    Soma zaidi
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • »

Habari Mpya

  • Jenerali Venance Mabeyo akutana na Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma

    Jenerali Venance Mabeyo akutana na Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma

    3 weeks ago
  • Tanzania na Ethiopia wasaini mkataba wa Kiulinzi

    Tanzania na Ethiopia wasaini mkataba wa Kiulinzi

    3 weeks ago
  • Mkuu  wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu kutoka India atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu kutoka India atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    2 months ago
  • Jenerali Mabeyo afanya ziara Ruvuma na Lindi

    Jenerali Mabeyo afanya ziara Ruvuma na Lindi

    2 months ago
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ 2 years ago
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ 2 years ago
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ 2 years ago
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ 2 years ago
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.