• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Mkuu wa Majeshi atoa salamu za Mwaka Mpya

    Mkuu wa Majeshi atoa salamu za Mwaka Mpya

    1 year ago

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ametoa salamu za mwaka mpya kwa Wanajeshi wote nchini kupitia watendaji wa Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Mashujaa Wetu Waagwa

    Mashujaa Wetu Waagwa

    1 year ago

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Miili ya Askari wake waliouwawa nchini DRC leo

    Soma zaidi
  • JWTZ kuaga Miili ya Mashujaa kesho Desemba 14, 2017 kuanzia saa 1 asubuhi

    JWTZ kuaga Miili ya Mashujaa kesho Desemba 14, 2017 kuanzia saa 1 asubuhi

    1 year ago

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linategemea kuaga Miili ya Mashujaa wetu waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.

    Soma zaidi
  • Jeshi la  Ulinzi la  Wananchi wa  Tanzania (JWTZ) limepokea miili ya mashujaa 14

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea miili ya mashujaa 14

    1 year ago

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea miili ya mashujaa 14 wa Jeshi hilo waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.

    Soma zaidi
  • Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru  yafanyika mjini Dodoma

    Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru yafanyika mjini Dodoma

    1 year ago

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amehutubia mamia ya watanzania leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita Jeshini aongea na waandishi wa habari

    Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita Jeshini aongea na waandishi wa habari

    1 year ago

    Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita Jeshini Brigedia Jenerali Alfred Kapinga ameongea na vyombo vya habari leo kuhusu zoezi la Ushirikiano Imara (CP EXERCISE) linalohusisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwemo Burundi, Kenya,Rwanda,Tanzania na Uganda.

    Soma zaidi
  • Majenerali wastaafu waagwa rasmi

    Majenerali wastaafu waagwa rasmi

    1 year ago

    Majenerali 18 wa JWTZ waliostaafu kwa tarehe tofauti mwaka huu, waagwa rasmi leo katika sherehe iliyofanyika kwenye Kambi ya Twalipo Mgulani jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Ujumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Ujumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    1 year ago

    Ujumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China ukiongozwa na Naibu Mnadhimu Mkuu Real Admiral Guan Bailin uliowasili na meli maalum ya matibabu nchini Novemba 19, 2017 leo Novemba 22 umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na kufanya mazungumzo ofisini kwake.

    Soma zaidi
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • »

Habari Mpya

  • Jenerali Venance Mabeyo akutana na Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma

    Jenerali Venance Mabeyo akutana na Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma

    3 weeks ago
  • Tanzania na Ethiopia wasaini mkataba wa Kiulinzi

    Tanzania na Ethiopia wasaini mkataba wa Kiulinzi

    3 weeks ago
  • Mkuu  wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu kutoka India atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu kutoka India atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    2 months ago
  • Jenerali Mabeyo afanya ziara Ruvuma na Lindi

    Jenerali Mabeyo afanya ziara Ruvuma na Lindi

    2 months ago
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ 2 years ago
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ 2 years ago
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ 2 years ago
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ 2 years ago
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.