Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman ameweka jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Kijiji cha burudani kilichopo katika Kambi ya Jeshi Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 08 Juni 26.
Soma zaidiMkuu wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali Said idd Nkambi, amefungua kikao kazi cha Polisi Jeshi kinachofanyika katika Kikosi cha Mazao Mkoani Morogoro tarehe 04 Jun 26.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 24 Februari 2026 amefungua rasmi jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa lililopo katika Kijiji cha Kikombo , Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo tarehe 12 Februari 2026 ameweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Jengo la utawala katika Kamandi ya Jeshi la Akiba iliyopo Mkoani Singida.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amefunga rasmi Mafunzo ya Askari wapya katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi (RTS) Kihangaiko Msata Mkoani Pwani leo tarehe 31 Januari 2025.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Rhimo Simeon Nyansaho, Leo tarehe 20 amefanya ziara katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ( MMUT), Kikombo pamoja na Hospitali Kuu ya Rufaa ya Jeshi Msalato, Jijini Dodoma.
Soma zaidiMkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Gaguti amefunga rasmi zoezi la Medani la EX- MALIZA lililofanywa na Kuruti wa Kundi la 44/25 katika eneo la Msata tarehe 16 Januari 2026.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi Mkutano wa 09 wa CDF na Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania unaofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga iliyopo Mkoani Tanga leo tarehe 15 Disemba 2025.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.